Kutangaza Vituo Vya Misaada Kwa Jamii

Tunawezesha watoa misaada na wenye vituo kukutana

Kwenye Tovuti ya AckySHINE tunawakutanisha watu wanaotoa misaada mbalimbali kwa jamii hasa yatima, walemavu wasiojiweza na wazee, pamoja na Vituo vya kutolea Misaada.

Tunatoa nafasi kwa vituo vya kutoa msaada kwa jamii kutoa matangazo yao bure kwenye tovuti hii. Hatukusanyi michango yoyote bali tunatangaza vituo vya misaada.

Kama una kituo chochote cha kutoa msaada Jaza fomu hii ifuatayo kuweka tangazo lako la kituo hapa tulitangaze ili upate misaada. Tangazo lako litatangazwa bure.

Wasiliana nasi kupitia Barua Pepe: charity@ackyshine.com